ZARI MAISHA MAGIC PLUS SEASON 2 MONDAY 18th FULL EPISODE 81
Choma Choma Official Music Lyrics
Intro
Rhoda Junior eeeh
Rhoda Senior aaah
Kujeni tutekeleze Desturi
Na Mila Za hii Familia
Lazima Mila na desturi zifuatwe
Lazima zifuatwe
Chorus
Choma chomaa,Choma chomaa
Chomaa chomaa , Choma chomaa
Choma kabisa
Verse 1
Lucy ulijiona Malkia
Kumbe wewe ni mnafiki
Mdomo wako watoa Maneno
Yenye uvundo kama mizoga
Kumbe Jina laka lamaanisha
Shetani Malkia Wa uovu
Shindwe kabisa, Shindwee
Chorus
Choma chomaa,Choma chomaa
Chomaa chomaa ,Choma chomaa
Choma kabisa
Verse 2
Lucy
Ulijifanya unapenda Dylan
kumbe wewe Ni gold digger
Kumbe Ni Mali Na Jina
Ulikua unatafuta, Ukasabaratisha
Familia yake kabisa
Roho yako Ni chafu
Na nyeusi kama ibilisi
Mwanamke Mpumbavu
Asiye Na akili
Chorus
Choma chomaa,Choma chomaa
Chomaa chomaa ,Choma chomaa
Choma kabisa
Bridge
Mashabiki eeeh
Mashabiki aaah
Kujeni nyote tutekeleze
Mila na desturi za familia
Wanafiki wote, chomaa chomaa
Magaidi wote , chomaa Choma
Wakora wote, Choma Choma
Chorus
Choma chomaa, Choma chomaa
Chomaa chomaa Choma chomaa
Choma kabisa
Outro
Lucy hata ukifa
Hatutahuzunika
Tutakuja Kukula biriyani
Na tukunywe chai ya TALASINI
Kwa mazishi yako!
ZARI MAISHA MAGIC PLUS SEASON 2 MONDAY 18th FULL EPISODES 81
Comments
Post a Comment